WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 4 July 2010

GERMANY YAINYANYASA ARGENTINË

............................................................................................................................................
...........................................................................................................................................

.............................................................................................................................................
............................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
............................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
............................................................................................................................................
Argentine moja ya miamba ya soka duniani waliopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa dunia mwaka huu imepata kichapo kikubwa kutoka kwa Germany ambao pia wamepewa nafasi ya kutwaa ubngwa huo.katika pambano hilo Germany iliichapa Argentine mabao 4-0.
Müller alikuwa wa kwanza kuona nyavu za argentine katika dakika ya 3,ambapo klose aliipatia Germany mabao mengine mawili bao la pili na la nne katika dakika za 67,89,huku bao la tatu lilipachikwa kimiani na Friedrich dakika ya 74. Germany imeingia nusu fainali kwa idadi kubwa ya mabao ya kufunga ukilinganisha na timu zote zilizofanikiwa kuingia katika hatua hio na zote zilizoshiriki katika mashindano hayo. hii ni mara ya tatu kwa Germany kutumbukiza mabao 4 katika mashindano hayo makubwa ya soka kuliko yote duniani, mechi ya kwanza ilikuwa 4-0 dhidi ya Australia,4-1 dhidi ya England,na 4-0 dhidi ya Argentine.
........................................................................................................................................