WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 7 July 2010

THE NETHERLANDS YAINGIA FAINALI

...........................................................................................................................................

............................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
.............................................................................................................................................

The Netherlands imekuwa nchi ya kwanza kuingia fainali ya michuano ya soka ya kombe la dunia mwaka huu 2010 inayoendelea nchini africa ya kusini.
kama ambavyo ilifnikiwa katika michuano ya kuingia fainali hizo holland ilikuwa ni nchi ya kwanza katika nchi za bara la ulaya kukata tiketi ya kuingia katika michuano hio mikubwa kuliko yote ya soka duniani imekuwa pia nchi ya kwanza kuingia katika pambano la fainali baada ya kuifunga Uruguay mabao 3-2 katika pambano la nusu fainali lililofanyika katika uwanja wa green point mjini cape town.
kwa ushindi huo holland imeweza kuingia fainali hio kwa kushinda mapambano yake yote iliyocheza katika michuano hio iliyoanza tarehe 11-06-2010 nchini africa ya kusini,sambamba na michuno yao ya mwanzo ya kuwania nafasi za kutinga katika mashindano hayo hapo awali holland iliweza kushinda mapambano yake yote hivyo kuendeleza rekodi nzuri katika mashindano hayo.
katika pambano la jana mabao ya holland yalifungwa na Van Bronckhorst dakika ya 18,Forlán alisawazisha bao hilo katika dakika ya 41 hivyo hadi mapumziko mabao yalikuwa 1-1.
kipindi cha pili holland iliongeza mabao 2 yaliyofungwa na Sneijder dakika ya 70 na Robben dakika ya 73,Pereira iliipachikia Uruguay bao la pili katika dakika ya 90 hivyo hadi mwisho wa pambano hilo mabao yalikuwa Holland 3-2 Uruguay.
.....................................................................................................................