WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 12 July 2010

THE NETHERLANDS YAREJEA NYUMBANI.WACHEZAJI WAPEWA MPUMZIKO HOTELI.KESHO NI SHREHE KUBWA MJINI AMSTERDAMNdege maalum ya KLM iliyowabeba wachezaji na viongozi wa Holland ikiwa angani ikishindikizwa na ndege mbili za kivita zenye rangi ya oranje pamoja na helcopter pia yenye rangi ya oranje ikiwaescorti wachezaji hao kurejea nyumbani kutoka south africa ambapo walifanikiwa kuwa washindi wa pili wa mashindano ya kombe la dunia 2010.Holland pia ni nchi pekee katika mashindano hayo iliyopeleka polisi wake wenyewe kutoka kwao ili kuwalinda mashabiki wake wenyewe kwa muda wote waliokuwepo nchini humo.polisi hao pia walitarajiwa kurejea holland mara baada ya kambi ya wapenzi hao kutawanyika kurejea nyumbani holland
........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................

..............................................................................................................................
........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
Mtoto wa Malkia wa holland Prince Willem Alexandra akiwa na mkewe Pincess maxima(ambae alikuja nchini Tanzania miezi ya karibuni kusaidia miradi mbalimbali ya vikundi vidigo vidigo nchini) wakishangia katika pambano la nusu fainali ambapo holland ilishinda 3-2.

Prince Alexandra amewapongeza vijana wa Holland kwa jitihada zao za kufanikiwa kufikia fainali atika mashindano hayo hasa ukitilia maanani kuwa Holland ni nchi ndogo sana duniani na hata ukilinganisha na nchi kubwa zilizoshiriki mashindano hayo kuyaaga mashindano mapema.
kesho kutakuwa na sherehe kubwa ya kuwapongeza wachezaji hao ambapo watapita katika zulia kubwa la rangi ya Oranje ambalo kwa mara ya kwanza zilia hilo lilitengenezwa kusherehekea ubingwa wa Europer mwaka 1988 wakati holland ilipoifunga Germany mabao 2-1 ambapo Captain wake alikuwa ni Ruud Gullit.
...........................................................................................................