WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 12 July 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY INATOA SHUKURANI KWA SPAIN NA WAPENZI WOTE WA SOKA

KWA NIABA YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INATOA PONGEZI KWA SPAIN KWA KUTWAA UBINGWA WA SOKA WA DUNIA 2010.

TUNATOA SHUKURANI KWA WAPENZI WOTE WA SOKA WALIOKUWA WAKIFUATILIA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA SOKA KOMBE LA DUNIA KUPITIA KATIKA BLOG YETU HII. HII ILIKUWA NI MOJA YA MCHANGO WA KITUO CHETU CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI KATIKA KUFATILIA KWA KARIBU MASHINDANO HAYO YA KIHISTORIA YA SOKA KOMBE LA DUNIA YALIYOKUWA YAKIFANYIAKA KATIKA ARDHI YA BARA LETU LA AFRICA.
TUNAWAPONGEZA WAPENZI WOTE WA SOKA WA SPAIN KWA USHINDI.NA KUWAPONGEZA WAPENZI WA HOLLAND KWA KUWA MOJA YA TIMU ILIYOCHEZA FAINALI HIZO KATIKA BARA LETU AMBAPO HISTORIA YAKE HAITOFUTIKA.
TUNAWASHUKURU PIA WAPENZI WA NCHI ZOTE ZILIZOSHIRIKI KATIKA MASHINDANO HAYO NA AMBAZO ZILITOLEWA KATIKA HATUA MBALIMBALI HUKO NYUMA NA KUWATAKIWA KILA LA KHERI KATIKA MASHINDANO YAJAYO YA SOKA KATIKA NCHI ZAO.

TUNAWATAKIA KILA LA KHERI WAPENZI WOTE WA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI,NA TUNAAMINI MASHINDANO HAYO YATAWEZA KUBAKIA KATIKA VICHWA VYA MASHABIKI WOTE WA SOKA WA BARA LA AFRICA.

KILA LA KHERI AFRICA.
.........................................................................
picha na baadhi ya maelezo pambano la Spain -Hollandkufatia kesho katika blog yetu hii