WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 25 July 2010

U/17 ORANJE FOOTBALL ACADEMY MABINGWA 2010.

ORANJE FOOTBALL ACADEMY LEO IMETWAA UBINGWA KWA USHINDI WA MABAO 3-1 AMBAPO HATA HIVYO PAMBANO HILO LILIINGIA DOSARI KATIKA DAKIKA YA 84 AMBAPO WAPINZANI WAO WALIFANYA FUJO NA KUPELEKEA PAMBANO HILO KUTOKUMALIZIKA KATIKA MUDA WA KAWAIDA WA DAKIKA 90 AMBAPO HADI DAKIKA HIO YA 84 ORANJE FOOTBALL ACADEMY WALIKUWA WANAONGOZA KWA MABAO 3-1.

WAFUNGAJI WA O.F.A WALIKUWA NI SEIF ABDALLA (karihe)x 2. NA AHMED KHAMIS BAO 1.

KUTOKA NA MATOKEO HAYO ORANJE FOOTBALL ACADEMY IMETWAA RASMI UBINGWA WA MSIMU HUU WA 2010 AMBAPO MSIMU ULIOPITA WALISHIKA NAFASI YA PILI KATIKA LIGI HIO.

VIJAN HAO WA U/17 KATIKA MECHI ZA LIGI ZA MSIMU HUU IMECHEZA MARA 18 KUSHINDA MAPAMBANO 16 KUTOKA SARE 1 NA KUPOTEZA MECHI 1.

JUMAPILI WIKI IJAYO U/17 WATAJITUPA KIWANJANI KATIKA PAMBANO LA NUSU FAINALI LA KOMBE LA MTOANO KUCHUANA NA NEW GENERATION AMBAPO ORANJE FOOTBALL ACADEMY NI MABINGWA WATETEZI WA KOMBE HLO MSIMU ULIOPITA 2009.
.................................................