WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 18 July 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAIRARUA SYRIA BAO 5-1.

Oranje Football Academy U/17 leo wameweza kuwachakaza Syria mabao 5-1 katika pambano lililofanyika katika kiwanja cha mao tse tung pambano ambalo limemalizika hivi punde.
mabao ya vijana hao wa Oranje Football Academy yalipachikwa na Khalifa Sleiman 2,Seif Abdalla 1,Ahmed Khamis 1,na Nassir Mohamed alipachika bao 1 na kukamilisha ushindi huo mnono katika pambano hilo la leo.
Wadogo zao wa U/14 watajitupa katika kiwanja hicho cha mao tse tung baadae jioni hii katika pambano la nusu fainali la kombe la mtoano.
.....................................................................................................