WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 4 July 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YASHINDA 3-0

Vijana Oranje Football Academy leo wameshinda jumla ya mabao 3-0 dhidi ya Kwahani United katika pambano la kutafuta bingwa wa U/17 msimu huu wa 2010.
kupitia kwa wachezaji wake waliopachika mabao hayo Yussuf Miraji,Yussuf Abdalla,na Nassir Issa ambao ndio waliokuwa mwiba kwa upande wa Kwahani united katika pambano hilo mabao ambayo yalitosha kuwapatia ushindi vijana hao wa O.F.A.

baada kucheza mechi mbili za kwanza Oranje Football Academy imeweza kushinda mapambano hayo hivyo kuwa na point 6.
wiki ijayo hakutokuwa na mechi ya ligi kwa upande wa chipukizi hao wa U/17 wakati mazoezi yataendelea kama kawaida kesho kwa upande wa U/17 pia kwa wadogo zao wa U/14.
....................................................................................................................................