WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 12 July 2010

SPAIN MABINGWA WA DUNIA 2010.

.........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................

..........................................................................................................................................

......................................................................................................................................... ...............................................................................................................................
SPAIN MABINGWA WA SOKA WA DUNIA 2010.
Wakicheza soka safi Mabingwa wa soka wa bara la Ulaya Spain wameweza kuonyesha kuwa wao ni mabingwa wa bara hilo baada ya kuifunga The Netherlands bao 1-0 katika pambano lilichezwa kwa dakika 120 baada ya dakika 90 za kawaida matokeo kuwa 0-0.
bao la spain lilifungwa na Iniesta katika dakika ya 116 dakika 4 kabla ya kumalizika pambano hilo ambalo kadi 14 za njano zilitolewa na red kadi kwa upande wa the netherlands iliyotolewa kwa mchezaji Heitinga. hii itakuwa ni fainali iliyovunja rekodi kwa kuwa na kadi nyingi kuliko zote ambazo zilitangulia.
Spain ambao walipewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo iliweza kutawala mchezo huo kwa kucheza vizuri katika vipindi vyote viwili zaidi ya wapinzani wake the netherlands,
baada ya kusubiri kwa miaka mingi hatimae Spain imeweza kutwaa ubingwa huo wa dunia ikiwa imepoteza mchezo mmoja tu dhidi switzaland sawa na Holland ambapo hadi kumalizika kwa mashindano hayo wamepoteza mechi moja ambayo ni leo na kuifanya kupoteza ubingwa huo kwa mara ya tatu katika historia na nchi.
..........................................................................................................