WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 12 July 2010

SPAIN YAREJEA NYUMBANI NA KULAKIWA KWA SHANGWE

.........................................................................................................................................

.............................................................................................................................................
Watu wawili wamefariki na zaidi ya mia moja kujeruhiwa vibaya katika mkesha wa jana kuamkia leo katika kushere zilizofanyika nchini spain katika michi mbalimbali.
mtu wa kwanza alifariki mjini madrid baada ya mtu mmoja aliekuwa na marafiki zake kuzama katika bwawa la kuogelea na kufa katika bwawa hilo,mtu mwengi alifariki katika mji wa Algeciras kusini mwa madrid baada ya kuanguka katika varanda alipokuwa akishangilia ushindi wa spain mara baada ya filimbi ya mwisho ya pamabano hilo.mtu mwingine mwenye umri wa miaka 52 katika mji wa madrid alianguka kutoka katika lori alipokuwa akishangilia ushindi na kukimbizwa hospitalini katika chumba cha mahututi na kufanyiwa upasuaji wa haraka haraka kuokoa maisha ya mtu huyo.watu wapatao 74 katika mchi wa Barçelona wameumia vibaya wakiwemo polisi 12 katika mkesha huo wa jana ambapo kumeripotiwa kuwa na majeruhi zaidi ya mia moja nchi nzima. katika mji wa Vallencia kaskazini mwa nchi wahudumu wa msalaba mwekundu walitoa adadi ya watu 50 ambao waliumia vibaya na wapo katika matibabu.
Polisi nchi nzima walikuwa na kazi kubwa ya kuzuwia umati wa watu na pia kuwakamata wale waliokuwa wakisherekea kwa kuharibu baadhi ya vitu kinyume na sheria kutokana na furaha ya ushindi huo wa jana.
............................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
............................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
............................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
...................................................................................................................................