WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 18 July 2010

U/14 YATINGA FAINALI MICHUANO YA KOMBE LA MTOANO

Oranje Football Academy U/14 jioni hii wameweza kujinyakulia tiketi ya kucheza fainali za mwaka huu za kombe la mtoano kwa vijana wenye umri wa miaka 14.
katika pambano hilo kali la nusu fainali vijana hao wa Oranje Football Academy waliweza kuwachapa Survivor mabao 2-0.
mabao yote ya O.F.A katika pambano hilo yalitundikwa wavuni na Moh'd Omar hivyo kumfanya mshambuliaji huyo hatari wa watoto hao wa O.F.A kuendelea kuwa mfungaji bora wa U/14.

Hongera U/14 kwa kwa kuingia fainali za msimu huu wa 2010.
..............................................................................................................