WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 August 2010

MATOKEO YA MECHI ZA MWISHO ZA ORANJE FOOTBALL ACADEMY

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/17 WAMETWAA UBINGWA WA MSIMU HUU 2010 AMBAPO PIA KATIKA PAMBANO LAKE LA MWISHO LA NUSU FAINALI YA KOMBE LA MTONO WALIFUNGWA BAO 1-0 DHIDI YA NEW GENERATION NA KUVULIA UBINGWA WA KOMBE HILO ILILOLITWAA MSIMU ULIOPITA.

KWA UPANDE WA WADOGO ZAO WA U/14 WAMETWAA UBINGWA WA KOMBE LA MTOANO BAADA YA KUSHINDA BAO 1-0. BAO LILILOFUNGWA NA MSHAMBULIAJI WAKE HATARI MOH'D OMAR.

MAZOZI HIVI SASA YAMESIMAMA KUUPISHA MFUNGO WA MWEZI WA RAMADHAN WAKATI AMBAPO SHUGHULI ZA OFISI ZA KITUO HICHO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI ZINAENDELEA KAMA KAWAIDA.
...........................................................................................................