WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 August 2010

NYOTA 5 ZA O.F.A ZAWAKA NCHNI KENYA KATIKA MASHINDANO YA SHULE ZA SEKONDARI

WACHEZAJI WATANO NYOTA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY NI MIONGONI WA VIJANA WANAOSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA SOKA YA WANAFUNZI SHULE ZA SEKONDARI ZA AFRIKA MASHARIKI YALIYOANZA NCHINI KENYA KUANZIA TAREHE 17-08-2010.

VIJANA HAO WENYE UWEZO MKUBWA KISOKA NI ISMAIL ALI,NASSIR ISSA,YUSSUF ABDALLA,MUDATHIR YAHYA,NA SEIF ABDALLA(karihe).

KWA NIABA YA KITUO CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAWATAKIA NYOTA HAO MAFANIKIO MAZURI NA KUIPEPERUSHA VIZURI BENDERA YA KITUO HICHO CHA O.F.A.
.............................................................................