WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 23 September 2010

NYOTA 2 WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAPO KATIKA DAIMLER CUP

NYOTA WAWILI WA U/15 WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAPO MJINI BUNJUMBURA-BURUNDI TAYARI KWAAJILI YA MASHINDANO YA DAIMLER CUP YANAYO WASHIRIKISHA VIJANA WA U/15 WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI AMBAPO NYOTA 2 WANAOPEPERUSHA BENDERA YA KITUO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KATIKA MASHINDANO HAYO NI YUSSUF JAFAR NA FARID SLEIMAN.


KWANIABA YA WACHEZAJI NA UONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAWATAKIA NYOTA HAO KILA LA KHERI PAMOJA NA KUFANYA VIZURI KATIKA MASHINDANO HAYO NA KUITANGAZA O.F.A KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.
.......................................................................................................