WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 5 September 2010

TAIFA STARS 1-1 ALGERIA

Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" imeilazimisha timu ya Taifa ya Algeria"Desert Foxes" kukomboa bao na kufanikiwa kutoka sare ya bao 1-1 katika pambano lililofanyika nchini Algeria.

Stars ilikuwa ya kwanza kuandika bao katika dakika ya 33 bao lilofungwa na Jerry Tegete kwa mpira wa adhabu uliokwenda moja kwa moja wavuni.

Algeria walikomboa bao hilo kwa bao lilofungwa na Adlane Guedioura.
kutokana na matokeo hayo kocha wa algeria Rabah Saadane amejiuzulu kuifundisha timu hio ya taifa ya Algeria baada ya kufadhaishwa na matokeo hayo.
...........................................................................................