WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 31 October 2010

FAINALI YA MABINGWA WA BARA LA AFRICA

TP MAZEMBE DE DR CONGO
.....................................................................................................................................


ESPERANCE CLUB DE TUNISIA
...................................................................................................................................
Mabingwa wa soka wa bara la Afrika TP MAZEMBE ya DR Congo leo wameweza kuanza kampeni zao za kurejesha na kutetea ubingwa wao baada ya kuinyanyasa ESPERANCE ya Tunisia jumla ya mabao 5-0 katika pambano la kwanza la fainali lililofanyika mjini Lubumbachi nchini DR congo.

mshambuliaji Ngandu Kasongo aliweza kuipachikia TP Mazembe bao la kwanza katika dakika ya 19, kiungo Alain Kaliyitika aliweza kuwafungia mabingwa hao bao la pili kwa njia ya penalti huku mshambuliaji kutoka Zambia Given Singuluma aliiandikia Mazembe mabao mawili ya haraka haraka katika dakika za 55 na 59.

kama mabao hayo hayakutosha kuweza kuwapa uhakika wa kutetea ubingwa wao TP Mazembe waliongeza bao la tano kupitia kwa mshambuliaji wao Kasongo Ngando katika dakika ya 75 ya pambano hilo ambalo Mazembe walitawala pambano hilo huku wakishangiliwa na mashabiki wao kuanzia mwanzo wa pambano hadi mwisho.

pambano la marejeano la fainali hizo za kumtafuta bingwa wa mwaka huu litafanyika nchini Tunisia tarehe 13-11-2010 ambapo Bingwa ataweza kuondoka na dola za kimarekani millioni 1.5. pia kuliwakilisha bara la Africa katika mashindano ya vilabu vya mabingwa wa mabara yote.
....................................................................................................