WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday 18 October 2010

NIZAR KHALFAN AKIWA MAZOEZINI NA ORANJE FOOTBALL ACADEMY

Nyota wa timu ya Real Madrid ya Spain na timu ya taifa ya Brasil Kaká akichuana na Nizar Khalfan.
..........................................................................................................................................
Nizar Khalfan katika pambano Stars dhidi ya Morocco.
..........................................................................................................................................
kiungo na mshambuliaji wa Vancover Whitecaps ya Canada na Taifa Stars Nizar Khalfan akiwa mazoezini na nyota wa Oranje Football Academy
...........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
...............................................................................................................................
........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
Nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania na Vancover Whitecaps ya Canada Nizar Khalfan alipokuwa mazoezini na nyota chipukizi wa Oranje Football Academy ambapo aliwahimiza sana kuhusu Nidhamu pamoja na kujituma zaidi na zaidi katika mazoezi na kuhakikisha wanakuwa makini katika kiwanjani kwani soka ndio kazi yao kama ilivyo kazi nyingine yeyote kwa wengine.
aliwataka wawe makini mazoezini kwani ndiko kutakapowapelekea kuwa makini katika mechi,
pia aliwahimiza sana kila wanapofanya mazoezi wajitume zaidi hata pale wanapojihisi kuwa wachechoka basi wajilazimishe kwani ndio kutakapowapelekea kuongeza uwezo wao kwani katika mechi hata kama ukiwa umechoka unatakiwa kuendelea kujituma ili kuweza kupata mafanikio na ndipo kutakapowafanya kuongeza uweza wao kisoka na kuwajengea uwezo mzuri wa mafanikio.
nyota huyo aliendelea kwa kuwashauri chipukizi hao kwa kuhakikisha wanafanya vizuri kila mechi,mechi ya jana kama umecheza vizuri unatakiwa leo ucheze zaidi kuliko ile mechi ya jana ili kuhakikisha kiwango hakiporomoki,na maendeleo ya kufanya vizuri katika mechi yanatokana na juhudi za mazoezi ya kila siku kwa kujituma zaidi na kila siku kuzidisha uwezo zaidi kuliko jana na kama kuna makosa unatakiwa kuyafanyia kazi ili kuweza kuyaondoa kupitia mazoezini.
pamoja na kuwapa nasaha hizo ambazo zitaweza kuwasaidia nyota hao wadogo wa Oranje Football Academy kiungo huyo mahiri Nizar aliwataka vijana hao kijutia kila wanapofanya vibaya na kuwa na uchu wa kufuta yale makosa waliyofanya kama ni katika mechi au mazozieni basi kuhakikisha wanayafanyia kazi ili kutoweza kuruhusu makosa hayo kuwa sugu kwa kila mchezaji kwani kila kosa dogo unapoliwachia kuendelea baadae inakuwa ni vigumu kulifanyia kazi na kulifanya kosa hilo kuwa sugu na aliwahimiza zaidi kufanya mazoezi kwa juhudi kubwa na kutovunjika moyo kwani mafanikio yanahitaji subira.
..................................................................................................