WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 17 October 2010

NYOTA WA KIMATAIFA WA VANCOVER WHITECAPS JANA ALIPOFANYA MAZOEZI NA ORANJE FOOTBALL ACADEMY

.....................................................................................................................................................................................................................................................................................
Mechi ya kwanza ya Khalfan kuchezeshwa kama mshambiliji.
...........................................................................................................................................
........................................................................................................................................
VANCOVER WHITECAPS MLS MAJOR LEAGUE SOCER NORTH AMERICA.
.........................................................................................................................................
MIAMI F.C MLS-MAJOR LEAGUE SOCCER
...........................................................................................................................................
kiungo na Mshambuliaji Nyota wa timu ya soka ya VANCOVER WHITECAPS YA CANADA ambayo inacheza MLS-MAJOR LEAGUE SOCCER YA NORTH AMERICA Nizar Khalfan ambae amekuwa aking'ara sana nchini humo jana alikuwa na vijana wa ORANJE FOOTBALL ACADEMY katika kiwanja cha Mao Tse Tung B ambapo alifanya mazoezi na nyota hao chipukizi pia kuwapatia maelekezo mengi ili kuweza kufikia lengo na kuwa wachezaji wa kimataifa.
Nyota huyo ambae pia ni kiungo wa kutumainiwa wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars alikuwepo mazoezi hapo ambapo aliweza kutoa changamoto kubwa kwa vijana hao wa Oranje Football academy ambao pia wana malengo ya kuweza kufikia kiwango kama cha nyota huyo wa Vancover whitecaps ya nchini Canada ambae alingára sana katika mechi yake na MIAMI hivi karibuni ambapo aliweze kucheza soka safi na kupata sifa nyingi .

hio ilikuwa ni nafasi kubwa kwa vijana hao wa Oranje Football Academy kupata mafunzo kutoka kwa nyota huyo anaesakata soka nje.

Mipingo mingine inaendelea kufanywa na viongozi wetu kuweza kumleta nyota mwingine kutoka coventry City ya england ambapo ataweza kufanya mazoezi vijana hao wa Oranje Football Academy.
.........................................................................................................................................
Mshambuliji wa timu ya Taifa ya Brasil Robinho akimshika mashati Nizar Khalfan asiondoke na mpira kwenda kuleta madhara katika lango la Brasil katika pambano la kirafiki kati ya Tanzania na Brasil lililofanyika nchini katikati ya mwaka huu.
..........................................................................................................................................
Mshambliaji wa Brasil Elano akiwa chini ya ulinzi wa Nizar katika pambano la kirafiki kati ya Stars na Brasil.
.........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono Nizar Khalfan kabla ya pambano kati ya Stars na Brasil,anaemfatia Nizar ni Nadir Canavaro pambano hilo lilifanyika katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
...........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
Nizar Khalfan number 16 akiangalia kwa makini nyuma ya Ngasa na Philipe Melo wa Brasil mwenye mpira huku Juan pia akiangalia kwa makini ili ngasa asilete madhara katika pambano la kirafiki lililofanyika mjini Dar es salaam mwaka huu.
...........................................................................................................................................
Khalfan Nizar wa kwanza kushoto safu ya mbele katika picha ya pamoja akijitayarisha kuanza pambano nchini Canada.
..........................................................................................................................................
Nizar Khalfan wa pili safu ya mbele kutoka kulia.
.............................................................................................................................................
Khalfan 29 akisalimiana na mashabiki wa timu ya Vancover Whitecaps mara baada ya kumalizika moja ya mapambano yake.
............................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
Sio tu umahiri wake wa kunyanyasa katika nafasi ya kiungo pia Nizar Khalfan amekuwa akitisha kwa ufumuaji wa makombora nje ya eneo la hatari la timu pinzani kama anavyoonekana pichani moja katika mechi zake nchini Canada.
.............................................................................................................................................
...........................................................................................................................................
Nizar Khalfan akishangilia moja ya mabao yake aliyoipachikia timu yake ya Vancover Whitecaps nchini Canada.
...........................................................................................................................................
Kiungo wa kutumainiwa wa Cancover whitecaps ambae sasa hivi pia huwa wanamtumia kama mshambuliaji wa kati kutokana na uwezo wake mkubwa wa kupiga mashuti,kumiliki mipira na kutoa pasi wka wenzake kuweza kuipatia klabu yake ushindi ambao hivi sasa Khalfan Nizar ameweza kujipatia umaarufu mkubwa nchini Canada.
............................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
..........................................................................................................................................
............................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
kiungo wa Vancover Whitecaps ya canada Nizar Khalfan akifumia shuti kama kawaida yake katika mechi zake za ligi ya MSL-Major League Soccer ya north America na zile za Canadian Championship.
.........................................................................................................................................
.......................................................................................................................................
Kiungo na mshambuliaji wa timu ya Vancover Whitecaps ambae pia ni kiungo wa kutumainiwa wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars akichuana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa ya Ivory coast mwaka jana.
......................................................................................................................................