WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 24 October 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKITOA MSAADA MWAKA JANA.

Baadhi ya wachezaji wa Oranje Football academy waliowawakilisha wenzao kutoa msaada kwa vijana wenzao wa kiuo cha watoto kilichopo mji wa Mbweni mwaka jana
..........................................................................................................................................
Katibu mkuu wa Oranje Football Academy ndg Hussein Ali akiongea na wazazi,viongozi na wanafunzi wa kituo cha watoto cha Mbweni walipowatembelea mwaka jana.
.........................................................................................................................................
Kiongozi wa kituo cha Mbweni akipokea msaada kutoka kwa makamo wa Rais wa kituo hicho ndg Mudathir Ali.
.........................................................................................................................................
Mwandishi na mpangaji wa Shughuli za Oranje Football Academy Isabel Den Heijer akikabidhi zawadi kwa kiongozi wa kituo hicho cha watoto cha Mbweni.
.........................................................................................................................................
Wachezaji wa Oranje Football Academy wakiagana na wanafunzi na wazazi wa kituo hicho cha Mbweni mwaka jana.
.........................................................................................................................................
........................................................................................................................................
Mmoja kati ya viongozi wa kituo hicho akiomba dua ya kuwatakiwa vijana wa kituo cha Oranje Football academy kuwa na moyo mzuri kama huo wa kuwajali vijana wenzao nchini pamoja na kuwaombea dua ya mafanikio mazuri na kufikia malengo yao ili hapo baadae wapate nafasi zaidi ya kuweza kutoa misaada kwa wale wenzao wote nchini ambao watakuwa hawakupata nafasi kama wao siku zijazo na pia aliwaombea dua kila aliehudhuria siku hio na wale wasiohudhuria pamoja na wananchi wote kwa ujumla.
........................................................................................................................................
Wanafunzi na wazazi wa kituo cha watoto mjini Mbweni aliohudhuria siku walipotembelewa na O.f.A.
...........................................................................................................................................
........................................................................................................................................
Katibu mkuu wa kituo cha kukuza soka kwa Vijana cha Oranje Football Academy akiweka saini ya kukabidhi zawadi kwa kituo cha watoto katika mji wa Mbweni ambao uliotolewa kwa niaba ya vijana hao wa Oranje Football Academy ambapo sio tu mbali na soka vijana hao wapo katika mipango mizuri ya kuweza kusadia vijana wenzao katika sehemu mbalimbali na hilo ni lengo moja kuu la kituo hichi hapo baadae tukio hapo ilikuwa ni mwaka jana katika mwezi wa Ramadhani.
........................................................................................................................................