WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 10 October 2010

STARS YAPOTEZA MECHI NYUMBANI

Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" imepoteza point tatu muhimu katika pambano la kuwania tiketi ya kucheza fainali za kombe la mataifa ya Afrika baada ya kufungwa na Morocco bao 0-1 pambano lililofanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

katika pambano hilo lililohudhuriwa na halaiki ya mashabiki wa soka nchini wakiongozwa na Rais Jakaya Kikwete ilikubali bao hilo lililofungwa na mshambuliaji anaechezea Ajax Amsterdam ya Holland Mounir Alhamdaoui zikiwa zimesalia dakika mbili kabla ya mapumziko kwa bao la kuunganisha mguu wa kushoto -Volley na mpira huo kumpita kipa juma kaseja na kujaa wavuni kufanya bao pekee la pambano hilo.

Stars ilipoteza nafasi nyingi za kusawazisha bao hilo ambao inaifanya hivi sasa kuwa na point 1 kutokana na mechi mbili walizocheza katika kundi hilo baada ya kutoka sare na Algeria katika pambano la kwanza ambapo Morocco sasa imejikusanyia jumla ya point 4.