WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 16 November 2010

NYOTA SEIF ABDALLA"KARIHE"KUTOCHEZA KOMBE LA CHALLENGE.

Mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa kisoka wa Oranje Football Academy"karihe" (katikati mbele ya Stewart Hall)katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Zanzibar .

..........................................................................................................................................


Nyota wa Oranje Football Academy "karihe"(wa kwanza kushoto jezi nyeupe)akiwa katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Zanzibar katika uwanja wa Amaan.

........................................................................................................................................

Mshambuliaji Nyota wa Oranje Football Academy Seif Abdalla "karihe" hakujumuishwa katika kikosi cha mwisho cha timu ya Taifa ya Zanzibar kitakachoshiriki mashindano ya kombe la Challenge mwishoni mwa mwezi huu.


akitangaza kikosi hicho ocha wa timu ya Taifa ya Zanzibar ambae ni raia wa Uingereza Stewart John Hall aliwataja wachezaji ambao watakuwa katika kikosi hicho tayari kwa mashindano hayo kuwa ni.


Abdi kassim(Yanga)Dadir Haroub"canavaro(yanga)Abdulhalim Humoud(Simba)Aggrey Morris(Azam)Sleiman Kassim(Azam)Maulid Ibrahim Ramadhan(Kmkm)Awadhi Juma Issa(Taifa)Mwadini Ali(Mafunzo).


wengine ni.

Sabri Ramadhan(Abu Dhabi)Abdulgahn Gulum(Malindi)Rashid Faki(Jamuhuri)Wazir Salum(Mafunzo)Mohammed Salum(Ocean View)Othman Omar(Miembeni)Gharib Mussa(uhamiaji)


washambuliaji.

Khamis Mcha(Miembeni)Abu Ubwa(Yanga)Ismail Khamis(Zimamoto)Ahmed Malik(Ocean View)Ahmed Ali(ocean View)Amour Sleiman(Ocean View)Abdul Seif(Ocean View)Mohammed Salum(Konde)Ali Ahmed(Duma)na Hassan Seif(Malindi).


kutokana na wachezaji wote kuwa na uzoefu mkubwa ukilinganisha na Kinda wa Oranje Football Academy "karihe"imemfanya Kocha stewart Hall kutomjumuisha katika kikosi cha mwisho cha timu hio ya Taifa lakini itatoa changamoto kubwa kwa nyota huyo kuweza kuhakikisha anabakia katika kikosi hicho kitakapoitwa tena siku za mbele kwani tayari ameweza kujijengea msimu mkubwa wa mendeleo kisoka ambapo ataweza kulisaidia sana Taifa hapo baadae .

..................................................................................................