WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 14 November 2010

TP MAZEMBE MABINGWA WA AFRICA

.......................................................................................................................................
.......................................................................................................................................
Timu ya TP MAZEMBE ya DR CONGO imetwaa tena kwa mara ya pili mfululizo ubingwa wa soka wa bara la Afrika baada ya kutoka sare 1-1 na ESPERANCE ya TUNISIA katika pambano la pili la fainali lililofanyiaka katika kiwanja cha Rades mjini Tunis-Tunisia.

Kutokana na ushindi huo TP MAZEMBE inakuwa ni klabu ya kwanza barani Afrika kutwaa ubingwa huo mara mbili mfululizo hio kuweza kutetea ubingwa wake ilioutwaa mwaka uliopita na kuifanya klabu hio kujikusanyia kitita chingine cha us $ millioni 1.5 hivyo kuifanya klabu hio izidi kupaa kifedha kwa kujikusanyia jumla ya dola $ milioni 3 ndani ya miaka miwili ambapo mbali ya kiticha hicho msimu uliopita iliweza kuongeza fedha katika klabu hio baada ya kutwaa ubingwa wa super cup ya bara la Africa pia kupata kitita chingine cha fedha kwa kuwa mshiriki wa bara la afrika katika mashindano ya vilabu mabingwa wa mabara yote ya Dunia ambapo msimu huu pia italiwakilisha bara letu la Africa katika mashindano hayo.

Kutokana na mipango bora ya uendeshaji wa timu hio ya TP MAZEMBE yenye makao yake mjini LUBUMBACHI nchini DR CONGO imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 6-1 ambapo bao lao la pambano la marudiano lilifungwa na mshambuliaji wao kutoka Zambia GIVEN SINGULUMA na kuifanya klabu hio iliyopiga kambi ya siku 10 nchini Belgium kabla ya kwenda Tunisia siku ya ijumaa tayari kwa pambano lao la fainali siku ya jumamosi na kufanikiwa kurejesha ubingwa wao.kutokana na usimamizi mzuri pamoja na mpangilio mzuri wa uendeshaji wa klabu hio ya Lubumbashi imetoa sura nyingine ambapo katika mipango yao ni kuimarisha klabu yao mwaka hadi mwaka hadi kuweza kuwa klabu bora kwa vilabu vya bara la Africa ambapo kwa miaka mingi ilikuwa ikitawaliwa na nchi za Afrika ya kaskazini pamoja na maghabiri.
Kwa mara ya pili mfululizo TP MAZEMBE MABINGWA WA AFRICA
................................................................................................................................