WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 12 December 2010

KILIMANJARO STARS BINGWA CHALLENGE

........................................................................................................................................
TIMU YA TAIFA YA TANZANIA BARA "KILIMANJARO STARS" IMETWAA UBINGWA WA SOKA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI PAMOJA NA ZILE TIMU ZILIZOALIKWA KUTOKA NCHI ZA KUSINI NA MAGHARIBI MWA AFRIKA BAADA YA KUICHAPA IVORY COAST BAO 1-0 KATIKA PAMBANO GUMU LA FAINALI LILILOMALIZIKA HIVI PUNDE KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.

BAO LA UBINGWA LA KILIMANJARO STARS LILIPACHIKWA KIMIANI KWA NJIA YA PENALTI NA SHADRICK NSAJINGWA.

BAADA YA KUSUBIRI KWA KIPINDI KIREFU HATIMAE FURAFA IMEREJEA TENA KATIKA SOKA YA TANZANIA NA KUONYESHA KUWA VIJANA WAMEWIVA KISOKA.

KWA NIABA YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INATOA PONGEZI KWA KILAMANJARO STARS,WAPENZI,MASHABIKI WA SOKA PAMOJA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.
..........................................................................................