WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 15 December 2010

MABINGWA WA AFRICA WATINGA FAINALI


MABINGWA WA SOKA WA BARA LA AFRICA TP MAZEMBE YA DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO IMEWEKA REKODI NJINGINE MPYA KATIKA SOKA LA BARA LA AFRICA BAADA YA KUITWANGA TIMU YA INTERNATIONAL YA BRASIL AMBAO NI MABINGWA WA COPA LIBERTADORES LA BARA LA SOUTH AMERICA JUMLA YA MABAO 2-0.


TP MAZEMBE BAADA KUWEKA REKODI YA KUWA TIMU YA KWANZA YA AFRICA KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFULULIZO MWAKA HUU INAWEKA REKODI MPYA YA KUWA TIMU YA KWANZA YA AFRICA KUINGIA FAINALI YA KOMBE LA MABINGWA WA MABARA YOTE YA DUNIA "FIFA CLUBS WORLD CUP"LINALOENDELEA NCHINI ABU DHABI.


ALIKUWA NI MULOKA KABANGU ALIYEANZA KUTINGISHA NYAVU ZA WABRASIL HAO KATIKA DAKIKA YA 53 ZA PAMBANO HILO.


KUKIWA KUMESALIA DAKIKA 5 PAMBANO HILO KUMALIZIKA TP MAZEMBE KUTOKA KATIKA MJI WA LUBUMBASHI NCHINI DR CONGO WALIWEKA UHAKIKA WA USHINDI PALE WALIPOPACHIKA BAO LA PILI KWA BAO LILILOFUNGWA NA

DIOKO KALUYITUKA HIVYO KUWAFANYA MABINGWA HAO WA AFRIKA KUZIDI KUPAA KATIKA KIWANGO CHA SOKA CHA AFRICA.


KESHO KATIKA PAMBANO JINGINE LA NUSU FAINALI MABINGWA WA ASIA SIONGNAM IIHWA YA KOREA KUSINI ITAJITUPA KIWANJANI KUPAMBANA NA MABINGWA WA BARA LA ULAYA INTER MILAN YA ITALIA