WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 19 December 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY 0-0 ZANTEL

Katika pambano kali,zuri na la kuvutia lililofanyika jana kati ya ORANJE FOOTBALL ACADEMY na ZANTEL kampuni inayomiliki simu za mkononi ambapo liliishia kwa matokeo ya suluhu 0-0.

katika pambano hilo lililowaurahisha mashabiki waliohudhuria lilikuwa na kila aina ya utaalam kwa pande zote mbili huku kila timu ikijipanga vizuri katika safu ya ulinzi na viungo kutoruhusu madhara langoni kwake.pande zote mbili zilipeleka mashamblizi kadhaa langoni mwa upinzani lakini hakuna timu iliyoweza kuona mlango wa mwenzake.

Vijana wa Oranje Football Academy walipekeka mashambulizi kadhaa langoni mwa Zantel lakini kutokana na umahiri wa walinzi wa Zantel iliweza kuinyima O.F.A mabao katika pambano hilo.
hadi mwisho wa pambano hilo O.F.A 0-0 Zantel.
.........................................................................................................................