WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 19 December 2010

TP MAZEMBE 0-3 INTER MILAN

Mabingwa wa bara la Afrika Tp Mazembe jana ilifungwa mabao 3-0 na timu ya Inter Milan ambao ni mabingwa wa bara la ulaya katika pambano la fainali la Fifa Clubs World Cup lililofanyika nchini Abu Dhabi.
mabao ya Inter Milan yalifungwa na Pandev katika dakika ya 13,Eto o' 17,Biabiany 85.

kutokana na kupoteza mechi hio ya kihistoria katika soka la bara la Afrika Tp Mazembe wamekuwa ni washindi wa pili wa mashindano hayo ambapo ni moja ya mafanikio makubwa katika soka la Africa na kuonyesha kuwa maendeleo ya soka ya bara la Afrika yamekua kwa kiasi kikubwa sana na kuonyesha kuwa miaka ijayo kutakuwa na mabadiliko makubwa zaidi katika soka barani Africa.

Hongera kwa timu ya Tp Mazembe kwa kuitangaza Africa na kuliwakilisha vizuri bara letu.
..........................................................................................................................