WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 9 January 2011

RIVALDO AKIWA NA KIONGOZI MPYA WA O.F.A

..........................................................................................................................................
(Rivaldo kushoto,na kiongozi mpya wa O.F.A Yusri kulia nje ya Training Center ya mabingwa wa soka wa holland F.c Twente wiki hii)
........................................................................................................................................
Kituo cha kukuza soka kwa vijana nchini cha Oranje Football Academy kimepata kiongozi mpya ambae tayari ameanza vitu vyake kwa kumpatia nafasi ya kwanza ya majaribio nyota wa kimataifa "Rivaldo"ambapo tayari ameanza rasmi majaribio kwa kuanza na Mabingwa wa Soka wa Holland FC TWENTE ya mji wa ENSCHEDE ambapo msimu huu walicheza Champions League katika hatua a makundi na hivi sasa wapo katika kombe la UEFA.
Uongozi wa O.F.A anafanya mazungumzo scouts na pamoja na wengine wa nchini Holland ili kuweza kushirikiana na Agent Ali Saleh wa kituo cha Oranje Football Academy aliepo nchini.viongozi wa O.F.a wapo ktk hatua ya mazungumzo na Agent maarufu na kuangalia uwezekano wa kumualika agent huyo maarufu na nyota wa zamani wa soka nchini Holland kwa ajili ya kuanza kazi rasmi na kituo cha Oranje Football Academy.
.............................................................................