WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 9 January 2011

RIVALDO AANZA MAZOEZI NA MABINGWA WA HOLLAND F.C TWENTE

........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................

Ntota wa kimataifa ameanza mazoezi nchini Holland na Timu B ya Mabingwa wa Soka wa Holland Fc Twente na kuonyesha uwezo mkubwa sana ambapo ulimewavutia makocha na viongozi wa timu hio.
kutokana na Timu kubwa ya Mabingwa hao kuwepo katika Training Camp katika mji wa Malagá nchini Spain alitakiwa aanze mazoezi haraka na wachezaji wa hakiba waliobakia nyumbani na kuonyesha uweo mkubwa ambapo alianza rasmi mazoezi siku ya Alhamisi na siku ya ijumaa alicheza mechi ya kirafiki ya mwanzo ambapo kutokana na uwezo wake mkubwa walimpatia nafasi ya kuanza mechi hio ambapo aliweza kuonyesha soka safi na la kitaalamu na kuisaidia timu yake kuongoza mabao 2-0 hadi kumalizika kwa kipindi cha kwanza ambapo alisababisha bao la pili pia kuifanya timu yake kutawala mchezo kutokana na uwezo wake mkubwa wa kumiliki na kuunganisha mipira kwa wenzake.
kipindi cha pili F.C Twente iliwapumzisha wachezaji wawili akiwemo rivaldo nafasi yake kuchukuliwa na Orsula, na kiungo wao Promes ambae aliwafungia bao la pili na nafasi yake kuchukuliwa na Mannes ili kutoa nafasi kwa wachezaji wengine kuingia katika mechi hio ya kirafiki.
F.C Twente waliweza kushinda mabao 3-1 katika pambano hilo ambapo tayari wameonyesha kiu kubwa ya kumnasa nyota huyo "Rivaldo" ambapo kutokana na uwezo wake na utaalamu wake viongozi wa O.F.A wamepewa contact ya wakati wowote kuzungumza na mkubwa wa Scouts wa timu kubwa ya mabingwa hao na pia kwa timu za vijana za mabingwa hao wa Holland hivyo kituo hicho cha kukuza soka nchini cha Oranje Football Academy wataanza rasmi kushirikiana na scouts hao ili kuweza kuwaleta nchini Tanzania kusaka vipaji vya soka kwa vijana na kwa wakubwa.
............................
kwa maalezo kidogo ya rivaldo nenda katika website ya F.c Twente.
(bonyeza baada ya picha za wachezaji vijana hapo chini kwenye
NIEUWS JONG FC TWENTE.
Jong Fc Twente Wint Oefenduel 07 JAN. (hapo wanazungumzia kidogo habari ya nyota Rivaldo).
KWA NIABA YA VIONGOZI NA WACHEZAJI WOTE WA KITUO CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KINAMTAKIA KILA LA KHERI NYOTA HUYO RIVALDO KUKIWAKILISHA VIZURI KITUO HICHO NA KUTOA NAFASI KWA NYOTA WETU WENGINE PAMOJA NA KUTOA NAFASI KWA MAENDELEO YA KITUO HICHO NA SOKA YA TANZANIA KWA UJUMLA.
.............................................................................................................