WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 12 March 2011

LIGI KUANZA LEO.

Ligi ya soka kwa vijana wa rika zote zitaanza kutimua vumbi leo katika viwanja mbalimbali,kwa Upande wa Oranje Football Academy chipukizi wake wa U16 watakuwepo katika kiwanja cha Shangani jioni ya leo kupambana na Mbweni Academy.

Wakati O.F.A U16 wataanza ligi hio leo Wakubwa zao wamechupa Daraja moja zaidi juu kutoka U17 na kuingia katika ligi ya ngazi ya Taifa ambapo waanza kampeni zao mpya za daraja hilo siku ya jumatatu kwa kupambana na Sebleni katika uwanja wa Ngome fuoni.