WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 14 March 2011

O.F.A 1-0 MBWENI ACADEMY

Oranje Football academy U16 wameanza vizuri ligi ya msimu huu baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya Mbweni academy katika pambazo zuri na la kuvutia lililokuwa na ushindani na utaalam wa hali juu ambalo lilifanyika katika kiwanja cha shangani.

Bao la O.F.A lilifungwa na Rashid Almasi ,huku U16 ikianza vizuri ligi hio leo jioni wakubwa zao watajitupa katika kiwanja cha ngome fujoni kupambana na
sebleni katika pambano linalotarajiwa kuwa gumu kwa pande zote mbili.