WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 19 March 2011

U16 KUJITUPA KIWANJANI KESHO

Oranje Football Academy U16 kesho asubuhi watajitupa katika kiwanja cha mao tse tung kupambana na vijana na New Italy katika moja ya michuano ya ligi ya soka ya vijana wenye umri wa miaka 16.
vijana wa Oranje Football Academy ambao msimu uliopita walikuwa katika michuano ya U14 na kutwaa ubingwa wa kombe la knock-out wamepanda kutoka U14 hadi U16,

Wakubwa zao wa U17 ambao ni mabingwa wa msimu uliopita wamepanda ngazi moja juu katika ligi ya taifa ambapo vijana hao wanaiwakilisha O.F.A kama U20 ambapo baada ya kutoka sare 0-0 mechi yake ya mwanzo dhidi ya Sebleni Utd watacheza mechi yao ya pili kwa kupambana na timu ya Sungusungu siku ya tarehe 27-03-2011 katika kiwanja cha Hanyegwa Mchana saa kumi jioni,

Huku U14 wa msimu uliopita wakichupa hadi U16,wakubwa zao wa U17 kwenda U20,kituo cha kukuza soka kwa vijana nchini tayari imeziba nafasi ya U14 kwa kuweka sura mpya zenye viwango vikubwa katika soka ambapo wanaziba nafasi ya kaka zao wa U14 wa msimu uliopita na sasa kikifanya kituo hicho kuwa na timu 3 kutoka 2 za kawaida hivyo kukifanya kituo chetu kuanza kujijenga zaidi kila mwaka.