WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 22 April 2011

MATOKEO YA LIGI WIKI ILIYOPITA

Matokeo ya mechi za ligi wiki iliyopita Oranje Football Academy U16 waliweza kuifunga timu ya Kwahani mabao 2-0 huku kaka zao U20 wakiichapa timu ya Champion jumla ya mabao 5-1.

Kesho vijana wa U16 watakuwa katika kiwanja cha Mafunzo Ziwani kupambana na Azam Znz wakati Wakubwa zao watajitupa kiwanjani siku ya jumapili kupambana na Idumu pambano ambalo litachezwa katika kiwanja cha Hanyegwa Mchana.