WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 30 April 2011

MTOTO WA MIEZI 18 ASAINI MKATABA WA MIAKA 10BAERKE VAN DER MEIJ mchezaji mdogo kuliko wote Duniani kusajiliwa katika soka ya kulipwa ambapo amechukuliwa na klabu ya VVV Venlo iliyopo katika daraja Primier Primier League ya nchini Holland.


Nyota hio iligunduliwa hivi karibuni baada ya Baba yake Van Der Meij kuweza video katika Youtube ya mtoto wake akionyesha Skills za kufunga mabao kwa kupiga mpira kutumbukiza katika Boksi kililokuwa katika umbali kiasi ambacho hakuna mtoto wa umri huo anaeweza kufanya hivyo,


kutokana na mchezaji huyo mpya wa VVV Venlo kufanya skills zake ndio uongozi wa juu wa klabu hio ulipowasiliana na baba yake hivyo kumtwaa nyota huyo kwa kumpa mkataba wa miaka kumi mkataba ambao ni mkubwa kuliko ya mchezaji yoyote wa soka kwa umri wake.


Video za mchezaji huyo ziliweka na baba yake katika Youtube wiki hii na hadi kufikia leo jioni tayari ilikuwa wadau kutoka pembe za dunia wanaangalia skills za kijana huyo.


Katika waliyoyabaini viongozi wa VVV Venlo ni kuwa kutokana na umri wake sio rahisi mtoto kuweza kutambua anachokifanya,lakini nyota huyo aliweza kuitengeneza vizuri mipira huku akijua hatua itakayofatia kuwa lengo lake ni kukwamisha mipira hio ya Adhabu ndani ya nyavu za Wapinzani na alifanya hivyo kama ambavyo alikusudia.


Hivi sasa nyota huyo Van Der Meij ni mchezaji halali wa timu ya VVV Venlo ya mji wa Venlo ambao upo karibu na boda ya Koloni nchini Ujerumani.


kutokana na utaalamu wa nyota huyo mpya klabu ya VVV Venlo inatarajia kuzalisha nyota wa kutundika mabao wavuni kwa njia za adhabu mbalimbali siku zijazo.


......................................................................................