WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 7 May 2011

ADEBAYOR KUREJEA CITY AU BAYERN ?

Mchezaji wa kimataifa kutoka Togo Emmanuel Adebayor ambaye mwezi huu mkataba wake unamalizika katika timu ya Real Madrid uongozi wa timu hio katika kikao cha pamoja hivi karibuni umeamua kutomnunua mfungaji huyo hodari aliekodiwa kutoka timu ya Manchester City ya England na badala yake kukubaliana kumrejesha katika timu yake.


Habari zaidi zimesema kuwa nyota huyo alikwenda Real Madrid kuziba pengo la mfungaji wao kutoka Argentine Gonzalo Higuain ambae aliumia na sasa amerejea tena katika kikosi hicho na ameonyesha maendeleo makubwa kila siku ambapo viongozi wameridhishwa na mshambuliaji wao na hivyo kutohitaji kumnunua Adebayor kuziba nafasi hio.


Wakati huohuo tayari Uongozi wa Bayern M√ľnchen ya Ujerumani imeanza mazungumzo ya kumuwania mshambuliaji huyo wa Manchester City ili kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao ambapo pia wanataraji kumuacha mfungaji wao Miroslav Close.