WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

AJAX AMSTERDAM 2-3 F.C TWENTE "KNVB BEKER FINAL"

Mabingwa wa Holland F.C Twente leo katika kombe la F.A la Holland " Beker Cup" wameifunga Ajax Amsterdam mabao 2-3 na kutwaa ubingwa huo katika pambano kali na la kuvutia la fainal ambapo hadi dakika 90 za kawaida mabao yalikuwa ni 2-2.

alikuwa ni Marc Janko aliepatia F.C Twente bao la ushindi huo muhimu kwa Tukkers ambao pia katika ligi ya Holland wanaongoza ikifatiwa na Ajax Amsterdam kwa idadi ya magoli huku wakifungana kwa point sawa.

jumamosi wiki ijayo watapambana Ajax Amterdam vs F.C Twente tena huku timu itakayoshinda pambano hilo itatwaa ubingwa wa Holland pambano ambalo litafanyika katika uwanja wa Amsterdam Arena.