WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

ARSENAL YAFUNGWA,INTER MILAN YASHINDA

Ndoto ya Arsenal ya kutwaa ubingwa wa Primier League msimu huu imefikia ukingoni baada ya kufungwa na timu ya Stoke City mabao 3-1.
mabao ya Stoke City yalifungwa na jones katika dakika 28' Pannant 40' Walters 84' wakati bao la Arsenal lilifungwa na Van Persie dakika ya 81'.
katika ligi ya Italia Inter Milan imeifunga Fiorentina jumla ya mabao 3-1.

Mabao ya Inter Milan yalipachikwa wavuni na Pazzini dakika ya 25'Cambiasso 28' Coutinho 77'. bao la Fiorentina lilifungwa na Gilardino dakika ya 74'.