WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 16 May 2011

BARÇELONA 0-0 DIPORTIVO,VILLAREAL 1-3 REAL MADRID

F.c Barçelona imetoka suluhu na Diportivo La Coroná 0-0 katika mechi ya ligi ya La Liga iliyofanyika katika uwanja wa Nou Camp.
katika pambano hilo ambalo Barçelona iliwapumzisha baadhi ya nyota wake kwa kuepusha wasije kupata majeraha huku wakiwa na pambano la fainali kate yake na Manchester United may 28.
Barçelona walikabidhiwa rasmi kombe lao walilolitwaa wiki iliyopita na kuifanya timu hio kutoka Cataluná kutwaa ubingwa huo kwa mara ya tatu mfulululizo.

Katika pambano jingine la ligi ya La Liga Real madrid imefunga timu ya Villareal ambao walikuwa nyumbani jumla ya mabao 3-1.
mabao ya Real Madrid yalifungwa na Marcelo dakika ya 17', na Cristiano 22' Ronaldo x2 wakati mabao yote mawili aliyafunga kwa njia ya mikwaju ya adhabu ndogo huku bao la pili alilifunga ikiwa bado sekunde 12 za nyongeza kabla ya mpira kumaizika hivyo kuweza kuifikia rekodi ya kufunga jumla ya mabao 38 kwa msimu mmoja wa ligi ambapo ni rekodi sawa na Hugo Sanchez nyota wa zamani wa klabu hio na timu ya taifa ya Mexico,

katika mechi nyingine ya ligi ya Spain ni kama ifuatavyo:
Almeria 3-1 Mallorca,
Vallencia 0-0 Levante
Atletico Madrid 2-1 Hércules
Sporting Gijon 2-1 Racing Santander
Athletico Bilbao 1-1 Málaga
Real Zaragoza 1-0 Espanyol
Sevilla 3 -1 Real Sociedad
Getafe 2-0 Ososuna