WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 28 May 2011

BARÇELONA MABINGWA WA ULAYA 2011

Timu bora barani ulaya au Duniani kwa ujumla F.c Barçelona imetwaa ubingwa wa soka wa Eufa Champions League baada ya kuifunga Manchester United jumla ya mabao 3-1.

mabao ya Barçelona yalifungwa na Pedro,Messi na Villa,wakti bao la Manchester United lilifungwa na Rooney.

katika pambano hilo kali la fainali Barçelona walimiliki zaidi mchezo kulinganisha na Manchester ambao walionekana kutofahamiana kama kawaida yao au kama ambavyo wamezoeleka kuonekana katika mapambano yao.