WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

BARÇELONA YAKARIBIA UBINGWA LA LIGA

Timu ya F.C Barçelona ya Spain leo imeendelea kuzichezesha kwata timu za la liga nchini spain baada ya kuwachapa mahasimu wao wakubwa ambao wapo mji mmoja wa Catalunha jumla ya mabao 2-0

Bao la kwanza la mabingwa hao wa Spain lilifungwa na Iniesta katika dakika ya 29' huku Pique akiongeza bao la pili katika dakika ya 48'.

kutokana na ushindi huo Barçelona itaingia kiwanjani wiki ijayo ikiwa na matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa kwani inahitajia kutoka sare na kama Real Madrid itatoka sare au kufungwa basi hata Barçelona wakifungwa mechi hio itakuwa tayari imetwaa ubingwa.