WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday 21 May 2011

BARCELONA YAONYESHA UMUHIMU WA KUWA NA SOKA YA WATOTO

Katika pambano lililomalizika hivi punde mabingwa wa soka wa Spain na miamba ya soka duniani imezidi kudhihirisha kuwa na kiwanda cha kutengeneza soka kwa vijana baada ya kuichapa Málaga mabao 3-1.
pambano hilo ambalo Málaga walichezea katika uwanja nyumbani ilionekana kama wanacheza katika uwanja wa Barcalona baada ya vijana wa Yoso wa Barcelona B kuwapigisha kwata Málaga na kuwatwanga mabao 3-1.

Kutokana na Barcelona kuwa na pambano muhimu la finali za kombe la Champions league hivi karibuni kati yake na Manchester United kocha wa timu ya Barcelona aliamua kuapumzisha wachezaji wake wote wa kikosi cha kwanza na kuingiza timu B ambapo kama kaka zao waliweza kuondoka uwanjani na ushindi huo katika pambano la mwisho la La Liga.
Málaga ilitangulia kupachika bao katika dakika ya 31' bao lililofungwa na Férnandez,Bojan aliisawazishia Barcelona katika dakika 44'bao alililolifunga kwa njia ya penalti,Ibrahim Afelay alifunga bao la pili katika dakika ya 76'na Bartra katika dakika ya 84'.