WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 30 May 2011

BIN HAMMAM ASIMAMISHWA FIFA KUTOKANA NA RUSHWA

Viongozi wawili wa ngazi za juu wa fifa Mohamed bin Hammam mwenyekiti wa chama cha soka cha Asia na Jack Waner mwenyekiti wa chama cha soka cha Concacaf cha north,south na Caribbean wamesimamishwa kazi kutokana na shutuma za rushwa.
katika kikao cha Fifa kilichokutana jana mjini zurich makao makuu ya Fifa viongozi hao walisimamishwa mara moja baada ya kupatikana na shutuma hizo zilizokuwa zikichunguzwa.