WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 25 May 2011

BIRMINGHAM YAJITOA ZIARA ZA TANZANIA

Timu ya Birminham ya Uingereza imejitoa katika ziara yake ya nchini Tanzania kwa mwaliko wa timu ya Simba ya Dar Es Salaam mwezi julai.
Awali Birminham iliwapa Wenyeji wao muda hadi siku ya tarehe 23-05-2011 kuelezea mwaliko huo kwa maandishi lakini hadi kufikia jana walikuwa hawakupata barua yoyote hivyo kuifanya timu hio iliyoshuka daraja la Championship msimu ujao kuangalia matayarisho mengine kujiandaa na ligi hio.
awali ilipangwa timu hio atakapowasili nchini ingepambana na Wenyeji wao Simba na Yanga mechi zilizokuwa zifanyike katika uwanja wa Taifa wa Dar Es Salaam.
Kutokana na maelezo zaidi timu Simba wameamua kuwachana na safari hio ya Birminham kwa vile ina mchezo muhimu wa Caf Champions League kati yake na Wydad Casablanca ya Morocco wiki ijayo mechi itakayofanyika nchini Misri,ambapo hata kama Simba haitofanikiwa kushinda mechi hio basi itapata nafasi nyingine ya kucheza pambano la Confederation cup hivyo ingeliwafanya Simba kutokuwa na Muda wala fedha za kutosha wa kuishughulikia safari hio kwa vile yenyewe itatumia fedha nyingi kwaajili ya safari zao za mashindano yajayo pia muda kuwa mchache kwa shughuli za maandalizi kwa pande zote mbili.