WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 22 May 2011

CELTICS BINGWA KOMBE LA SCOTLAD

Timu ya Celtics Glasgow ya Scotland imetwaa ubingwa wa Scotish Cup baada ya kuifunga Motherwell katika pambano la fainali jumla ya mabao 3-0.

Katika Fainali ya Kombe la Ujerumani Schalke 04 imeisalowesha MDV Duisburg jumla ya mabao 5-0 na kutwaa ubingwa huo hivyo kujidhihirishia kupata nafasi ya kucheza kombe la europer league msimu ujao.
katika pambano hilo timu ya Schalke ilitundika mabao yake kupitia kwa Draxler 18',Huntelar 22',70,Höwedes 42'na Jurado 55'.