WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 23 May 2011

CHELSEA YAMTIMUA ANCELOTTI

Kutokana na matokeo mabaya na mwenendo mzima wa msimu wa ligi uliomalizika timu ya chelsea ya uingereza haikuridhishwa na kazi ya kocha wake Carlo Ancelotti hivyo imefukuza kazi hio rasmi.
kutokana na hali nafasi ya ukocha kwa mara nyingine tena ipo wazi kwa timu hio miamba ya soka ya Uingereza lakini magazeti mengi nchini uingereza yameelezea kuwa tetesi kubwa kuwa Chelsea wanataka kumrejesha tena José Mourinho Stanford Bridge hali ambayo Real Madrid wameahidi kuwa na uhakika kuwa Mourinho atakuwepo Santiago Bernabeu msimu ujao.
je ni nani atamrithi ancelotti?bado haijajulikana hadi hapo baadae baada ya uongozi wa timu hio kumpasisha kocha mpya atakae kiongoza kikosi hicho cha Chelsea msimu ujao.