WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 7 May 2011

EVERTON 2-1 MANCHESTER CITY

Manchester City leo ikiingia kiwanjani kuwania point 4 kuweza kukata ticketi ya kucheza Champions league msimu ujao wamejikuta wakifungwa mabao 2-1 na timu ya Everton katika pambano la ligi ya Primier League katika kiwanja cha Goodson Park.

City walikuwa wa kwanza kufunga bao katika dakika ya 28 bao lililofungwa na Kolo Touré,
katika kipindi cha pili Everton walibadilika na kuweza kupeleka mashambulizi ya mara kwa mara ambapo katika dakika ya 65 Distin mchezaji wa zamani wa manchester city alipoifungia timu yake bao la kusawazisha, Osman aliifungia Eveton bao la pili na la ushindi katika dakika ya 72 hio sasa kuigharimu Manchester City kusubiri mechi zake mbili zilizobakia au kuwaombea dua mbaya Tottenham wapoteze mechi yao ya leo ili kuweza kurejesha matumaini ya kucheza champions league kwa mara ya kwanza msimu ujao