WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 11 May 2011

F.C BARÇELONA MABINGWA WA SPAIN

F.c Barçelona imetwaa ubingwa wa soka wa Spain baada ya kutoka sare na timu ya Levante U.D kwa kufungana bao 1-1.

hii itakuwa ni mara ya tatu mfululizo kwa timu hio ya Barçelona kutwaa ubingwa huo wa La Liga,
bao la Barçelona lililoipatia ubingwa lilifungwa na mchezajiwa kimataifa wa Mali Keita katika dakika ya 28', wakati bao la Levante lilifungwa na Caicedo katik dakika ya 41'.