WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 23 May 2011

FLUMINENSE YALALA KWA SÁO PAULO

Timu ya Fluminense kama inavyojulikana zaidi nchini Brasil kwa jina la "Flu"jana ilishindwa kutamba katika uwanja wa nyumbani baada ya kupingwa marungu 2-0 na timu ya Sáo Paulo katia pambano kali la wiki hii katika ligi ya Brasil Série A.
mabao ya Sáo Paulo yalipachikwa na Dagoberto katika dakika ya 34'na Lucas dakika ya 49'.
katika pambano jingine kali la wiki hii ligi ya Brasil timu ya Palmeiras ikiutumia uwanja wa nyumbani mbele ya mashabiki wake iliweza kuifunga timu nyingine ngumu ya Botafogo katika pambano jingine kali la wiki ambapo goli pekee la pambano hilo la Palmeiras liliwekwa wavuni na Freitas katika dakika y 65'.
Miamba mingine ya Brasil Corinthians yaliichapa 2-1 Grémio timu ya zamani aliyochipukia mwanasoka nyota wa Brasil Ronaldinho Gaucho,
Cruzeiro wakiwa ugenini walifungwa na Figueirense bao 1-0,
Coritiba 0-1 Goianense,
América-MG 2-1 Esporte clube Bahia.