WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 15 May 2011

GLASGOW RANGERS MABINGWA WA SCOTLAND

Rangers imetwaa ubingwa wa Scotland kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichapa timu ya Kilmarnock jumla ya mabao 5-1 katika mechi ya mwisho ya ligi ya Scotland,
kabla ya kuchezwa pambano hilo Rangers ilikuwa mbele kwa point moja zaidi ya wapinzani wao wakubwa Celtic ambao pamoja na leo kushinda mabao 4-0 hayakuweza kusaidi kuweza kutwaa ubingwa nchi hio.
mabao ya Rangers yalifungwa na Lafferty 1', 7', 53',Naismith 5',Jelavic 49'.
bao la Kilmarnock lilifungwa na Dayton katika dakika ya 65'.