WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 15 May 2011

HOLLAND'S U17 YATWAA UBINGWA WA EUROPER

Holland National Team U17 " JONGEN ORANJE" imetwaa ubingwa wa bara la ulaya kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 baada ya kuitandika Germany U17 jumla ya mabao 5-2 katika fainal.

ilikuwa ni Germany U17 iliyoanza kufunga bao katika dakika ya 8 bao lililofungwa na Samed Yasil, Holland U17 walisawazisha bao hilo kupitia kwa Tonny Trindade de Vilhena baada ya kushirikiana vizuri na Kyle Ebecilio nakufanya mabao kuwa 1-1.

Germany wakishambulia kwa kutumia mipira ya pasi refu iliweza kutangulia tean katika pambano hilo zuri la fainali baada ya kufunga bao la pili bao lililofungwa na Okay Aydin bao ambalo vijana wa Holland U17 walisawazisha kakika chache kabla ya mapumziko bao lililowekwa na tena wavuni na Tonny Trindade,

katika kipidi cha pili vijana wa "Jongen Oranje"walitawala mchezo kwa kutandaza soka safi na kuweza kupachika mabao matatu zaidi mabao yaliyofungwa na Memphis Depay,Terence Konolo na Ebecilio hivyo kufanya idadi ya mabao 5-2 hadi mwisho wa fainali hio.

hii inakuwa ni mara ya kwanza katika historia ya fainali ya european U17 kumalizika kwa ushindi wa mabao 5 kwa mshindi wa fainali hio.