WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 17 May 2011

KENNY DALGLISH ATUNUKIWA MIAKA 3 LIVERPOOL

Liverpool imemtunukia heshima ya mkataba wa miaka 3 kocha wao Kenny Dalglish ambae aliichukua timu hio mwezi wa januari kuziba nafasi ya kocha walietimuliwa Roy Hodgson,

kutokana na kazi nzuri aliyoifanya tokea kuichukua timu hio pamoja na heshima kubwa aliyojijengea katika timu yake hio Liverpool ememtunukia Dalglish mkataba wa miaka mitatu wa kuendelea kuinoa na kuijenga klabu hio yenye historia kubwa katika soka nchini Uingereza pamoja na bara la ulaya.