WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 15 May 2011

LIVERPOOL 0-2 TOTTENHAM

Tottenham imeifunga timu ya Liverpool mabao 2-0 katika pambano lililofanyika katika uwanja Enfield.
katika pambano hilo mabao ya Tottenham yalifungwa na Van Der Vaart katika dakika ya 9' na Modric dakika ya 56' bao alililolifunga kwa njia ya penalti.

Katika pambano jingine la ligi Arsenal ilifungwa mabao 2-1 dhidi ya Aston villa, bao la Arsenal lilifungwa na Van Persie katika dakika ya 89' wakati yale ya Aston Villa waliotangulia kufunga yalifungwa na Bent katika dakika ya 11', na 15'.

wakati mechi nyingine ya ligi hio Wigan Athletic wameifunga West Ham United mabao 3-2,
mabao ya West Ham yalifungwa na N'zogbia katika dakika ya 57', 90', na Sammon 68'.wakati mabao ya West Ham yote yalifungwa na Demba Ba katika dakika za 12', na 26'.